Ni rahisi sana kuweza kupata huduma zetu popote pale ulipo nchini Tanzania. Tumelenga sana kurahisisha upatikanaji wa taarifa kuhusiana na michezo na kukuwezesha wewe mtumiaji kuweza kupata taarifa zote hata usipokuwa na bando karibu sana BFoot.
Read More