Tumelenga sana kurahisisha upatikanaji wa taarifa kuhusiana na michezo ili kukuwezesha wewe mtumiaji uweze kupata taarifa zote hata usipokuwa na bando, karibu sana BFoot.
Unaweza kufatisha hatua zifuatazo ili uweze kuwa miongoni mwa wateja wetu;
1. Bonyeza kitufe kilicho andikwa Pricing.
2. Bonyeza kitufe kilicho andikwa Free Trial.
3. Jaza taarifa zako binafsi.
4. Usajili wako umekamilika.